IJUE PID NA MADHARA YAKE KAMA HUTAITIBU


PART ONE


Mshauri: SALOME NDAYABANYE


DALILI ZA P.I.D NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?


P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease. 

P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)

  

MWANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D

-Kupitia ngono zembe

-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja

-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga

-Kupitia magonjwa ya zinaa 

-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba

-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane

-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)

- Kuwa na #U.T.I. sugu au #fungus ya muda mrefu


DALILI ZA P.I.D

-#Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa

-Kutokwa #hedhi yénye Mabonge mabonge

-#Uke kutoa harufu mbaya

-#Kuwashwa sehemu za siri

-#Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

-#Uke kuwa mlaini sana

-Maumivu wakati wa tendo la ndoa

-#mvurugiko wa hedhi/Kupushana kwa hedhi

-#Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi

-Maumivu wakati wa kukojoa

-Homa, uchovu na #kizunguzungu


MADHARA YA P.I.D

-#Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi

-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hupelekea mirija kuziba

-#mimba kutunga nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi

#Ugumba kwa mwanamke

-kupata #kansa ya shingo ya uzazi


UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI


HABARI NJEMA NI KWAMBA TUNAVYO VIRUTUBISHO VYA ASILI WASILIANA NASI.

Kwa;

+255 753909707.


PART 2 LOADING...... ....

0 Maoni

Chapisha Maoni

Post a Comment (0)

Mpya zaidi Nzee zaidi