*UFAHAMU UGONJWA WA TEZI DUME SABABU, DALILI, MADHARA YAKE NA TIBA YA KUDUMU.*
Na Dr. Salome Ndayabanye
0753909707
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini.
Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.
Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu Kadri umri unavokua mkubwa. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.
Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume,
mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
*II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA*
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.
Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume
- Ukosefu wa lishe kamili na #Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa #sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya #mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo ( Stress )
- #Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Sababu za kimazingira (Ethnicity)
*III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME*
Mtu mwenye tatizo katika tezi huanza kwa dalili ndogo ndogo sana,
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko stage nne.
Stage zote 1-4 za TEZI DUME zinatiba KWETU TENA BILA UPASUAJI.
Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.
*a) Dalili za awali*
-#kukojoa mara kwa mara hasa wakat wa usiku.
- #Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- #Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
#Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
-#kupungua kwa nguvu za kiume.
#Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- #Homa
- #mkojo hauishi
*b) Dalili za mtu aliyeathirika*
- #Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- #Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- #Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- #Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji
- #Tumbo kuja gesi mara kwa mara
*IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA*
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.
Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- #Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- #Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa #majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo
*V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA*.
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
dawa za hospitalini au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana. Na mara nyingi uvimbe hujirudia tena kwa kasi zaidi na kuzidisha madhara zaidi.
*(b). *SULUHUSHO LA KUDUMU.
Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili unavihitaji. Hivyo basi program maalumu ya virutubisho imeandaliwa
Kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume.
Tiba ya kudumu ipo 👇🏾
Kwa yeyote anayehitaji hii TIBA BORA BILA UPASUAJI na inayoboresha na kuimarisha afya yake ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume
Tuwasiliane kwa: 0753909707 kokote uliko.
Chapisha Maoni