ZITAMBUE DALILI ZA BAWASILI NA UTIBU,
1.Kutokwa #kinyama sehemu ya haja kubwa.
2.kutokwa #damu njia ya haja kubwa.
3.#kuwashwa njia ya haja
4.#kujisikia vibaya baada ya haja kubwa.
5.kutoa #Choo kwa shida kigumu sana.
BAADHI YA SABABU ZA BAWASILI NI,
1.Shida kweny #mmeng'enyo wa chakula.
2.kukosa choo na kupata Choo kigumu kukitoa kwa shida.
3.ujauzito na unene mkubwa.
4.ngono kinyume na maumbile.
USIPOTIBU BAWASILI UNAWEZA PATA, CANCER YA UTUMBO MKUBWA, KUKOSA NGUVU ZA KIUME, NA KINYAMA HAJA KUBWA KUENDELEA KUTOKA HATA KAMA UKIKATA KINARUDI.
Natibu kwa tiba lishe ambazo huenda kuondoa chanzo cha tatizo hilo, napatikana kwa 0753909707 . TIBA YA UHAKIKA.
Chapisha Maoni