*ONDOA SUMU MWILINI KWA KUTUMIA TIBA LISHE*
*VYANZO VYA SUMU*
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;
1. Matumizi ya dawa mara kwa mara
2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
4. Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
5. Matumizi ya madawa makali.
6. Uzito mkubwa
7. Mitindo ya maisha
8. Njia za uzazi wa mpango za kisasa
DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI
1. #Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. #Kuwa na uzito wa kupindukia
3. #Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. #Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. #Kichwa kuuma kila mara
6. #Kupata miwasho
7. #Maumivu ya viungo Kama vile mgongo,goti, nyonga
8. #Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. #Tumbo kujaa gesi nk
MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata #maambukizi kwenye figo
3. #Kupata maambukizi kwenye Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto #(ugumba)
5. Husababisha #uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo #shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. #Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
✅Tumia tiba special ambayo itaondoa sumu mwilini. Kwa mawasiliano zaidi 0753909707 save (Madame Afya) Kisha tuma ujumbe WhatsApp (Sumu mwilini)
Chapisha Maoni