FAIDA ZA KUTUMIA VITAMINI C

 *VITAMIN C CHEWABLE TABLETS.*


🥰Hii ni bidhaa mpya kabsa yenye radha ya chungwa na ni nzuri sana na mahususi kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha na watu wazima.


🥰Ina vidonge 120 na 100mg, unaweza kutumia pamoja na chakula au bila chakula.


🥰Ni bidhaa nzuri na tamu sana hata mtoto asiyependa kutumia vidonge ataipenda sana.


*FAIDA ZA KUTUMIA VITAMIN C CHEWABLE TABLETS KUTOKA BF SUMA*

👉Inazuia na kutibu anemia.

👉Inaongeza kinga ya mwili kwa kuziwezesha chembe cells nyeupe kufanya kazi yake kwa ufanisi wa hali ya juu.

👉Inazuia kukakama kwa cell za ateri.

👉Ina antioxidant za kutosha kwa ajiri ukuimalisha cells na kuzuia cells zisiharibike.

👉Inasaidia kuponesha vidonda haraka.

👉Inazalisha collagen za kutosha ambazo ni proteins zinazoimalisha ngozi, mishipa ya damu na damu yenyewe, mifupa na cartilage.

👉Inasaidia uchukuliwaji wa madini chuma mwilini(Iron absorption) ambayo kazi yake ni kuzalisha chembe cells nyekundu na kusafirisha oxygen mwilini.

👉Inazuia au kutibu upungufu wa vitamin c mwilini.

👉Inaondoa na kupunguza mafua au dalili za mafua.

👉Inaimalisha meno na mifupa Kwa sababu inasaidia uchukuaji wa calcium.

👉Inaondoa Hali ya mwili kuchoka au mwili kuishiwa nguvu na kuwezesha mwili na akili kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.


🥰Kuwa wa kwanza kununua na kutumia Vitamin C CHEWABLE TABLETS kutoka BF SUMA na Wahi upate yako mapema maana ziko chache . Piga au text kwa 0753909707

0 Maoni

Chapisha Maoni

Post a Comment (0)

Mpya zaidi Nzee zaidi