HIVI HAPA VYANZO VYANZO VYA BAWASIRI👇🏾
1.Kujikamua sana wakati wa haja kubwa.
2.kukaa mda mrefu hasa chooni.
3.kukosa choo kwa mda mrefu.
4.kuharisha
4.Unene mkubwa
5.Ujauzito
6.Mapenzi kinyume na maumbile ya kawaida.
7.Kula mlo wenye nyuzi nyuzi kidogo.
8.Kunyanyua vitu vizito kwa mda mrefu.
Chapisha Maoni